Posts

Mafunzo 7 yaliyomo katika kitabu cha why "A" students work for "C" students and "B"students work for the government

Kila mmoja kwa nafasi yake angependa kujifunza zaidi kuhusiana na fedha, wapo wengi ambao hushindwa kutambua ni wapi elimu hii wanaweza kuipata, na wachache hufanikiwa kuipata katika umri tofauti tofauti wapo wale ambao hufanikiwa wakiwa na umri mdogo yaani kutokana na mazingira waliyokuzwa nayo na wapo wale ambao huipata elimu hiii tayari wakisha kuwa wakubwa kiasi cha kujitambua. Hakika zipo makala mbalimbali ambazo zinazungumzia masuala ya uchumi ama fedha kwa ujumla, pia vitabu ambavyo huandikwa na watu mashuhuri kama vile Robert Kiyosaki, Brian Tracy pia Wallace D Wattles na wengineo wengi Lakini leo nimekuletea makala ambayo inazungumzia  masuala ya upatikanaji wa fedha kupitia uwezo wetu wa akili na jinsi vile tunaweza kuwaza sisi wenyewe Makala hii inazungumzia mambo saba ambayo yamekuwa mafunzo yanayotoa elimu ya fedha na kuwasaidia watu engi mno katika dunia yetu. Kitabu hiki kimeandikwa na Robert Kiyosaki na kinaitwa    "why "A" students work for ...